Elections 2010 CONFIRMED: Mzee wa 'Vijisenti" Chenge ashinda

Moseley

Senior Member
Joined
Jul 10, 2010
Posts
187
Reaction score
98
Nasikia Chenge kaangushwa huko Bariadi, na jimbo limeenda CHADEMA...
 
Data jamani maswala ya kusikia yanaleta presha
 
eeen Mungu saidia mambo yaendelee vyema hili kongwe la mafisadi liende na maji
 
data tafwadhali,tusije tukasherekea buuuure baadaye tuskie mzee wa vijisenti katangazwa
 
Kama kweli I can run in the streets naked with joy!! Sure, I can!!
 
Mpuuzi Mwingine huyu analeta Data za Uongo

Jamani, nimesikia tetesi.. Naona kuna haja ya kuanzisha forum ya tetesi.. Mie nauliza kufahamu hili, maana kuna mtu kanambia na mie nipo nje ya nchi.. That is why nikauliza... Samahani kwa kuwaudhi..
 
Jamani matumaini yetu yaliinuliwa sana huko nyuma halafu matokeo halisi yalipokuja yakatuacha vinywa wazi..................
 
Bado tetesi mpaka pale tutakapo pata habari za uhakika tusuburi na tuvute subira
 
Huyu ni mojawapo ya wale sitaki hata kumwona sehemu yoyote ndie katuuza kwa cheo chake cha mwanasheria mkuu ee Mungu saidia ling'oke
 
Jamani tupeni data ndugu zangu!!!!!!!!
 
I hope so but will not celebrate until it is confirmed.

Next stop JAIL!!! .... for a very long time... na arudishe hizo hela zote alio iba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…