Elections 2010 CONFIRMED: Mzee wa 'Vijisenti" Chenge ashinda

Elections 2010 CONFIRMED: Mzee wa 'Vijisenti" Chenge ashinda

Sasa haya matokeo ndani ya JF hayaaminiki. Naona utani nao umezidi.
 
Si kweli Chenge kashinda kapata kura 50,107 mpinzani wake wanasema kapata 3000 na kitu lakini nadhani ni 33,000 kwani ushindi wa Chenge ni 56%.
Bwana Mapesa naye kashinda kapata 38,000 na kitu na mpinzani wake kapata 33,000 na kitu chanzo ni BBC.@font-face { font-family: "Times New Roman"; }p.MsoNormal, li.MsoNormal, div.MsoNormal { margin: 0in 0in 0.0001pt; font-size: 12pt; font-family: "Times New Roman"; }table.MsoNormalTable { font-size: 10pt; font-family: "Times New Roman"; }div.Section1 { page: Section1; }
 
uongo uongo uongo uongo uongo uongo uongouongo.......jamani mambo gani haya kutoa information za kupotosha
A%20S%20angry.gif
 
uongo uongo uongo uongo uongo uongo uongouongo.......jamani mambo gani haya kutoa information za kupotosha
A%20S%20angry.gif

I have never though people could swindle at this very critical point!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:nono:
 
mjela jela mdani majua tutarudia kura maana anatarajiwa kufungwa na kupoteza kiti
 
mara chenge chali mara kapita, cjui whc is whc....🙂
 
Nasikia Chenge kaangushwa huko Bariadi, na jimbo limeenda CHADEMA...

Kama ''umesikia'', huo ni UDAKU na usije kupost hapa.

Bariadi Magharibi
Chenge: CCM 50,107

Isack Cheyo: UDP 3,428
 
Huyu Chenge ni mmoja wa wale wanaoning'inia kwenye kamba nyembamba. Siku yake ya kuanguka kama mramba itafika tu!
 
Back
Top Bottom