Si kweli Chenge kashinda kapata kura 50,107 mpinzani wake wanasema kapata 3000 na kitu lakini nadhani ni 33,000 kwani ushindi wa Chenge ni 56%.
Bwana Mapesa naye kashinda kapata 38,000 na kitu na mpinzani wake kapata 33,000 na kitu chanzo ni BBC.@font-face { font-family: "Times New Roman"; }p.MsoNormal, li.MsoNormal, div.MsoNormal { margin: 0in 0in 0.0001pt; font-size: 12pt; font-family: "Times New Roman"; }table.MsoNormalTable { font-size: 10pt; font-family: "Times New Roman"; }div.Section1 { page: Section1; }