Elections 2010 CONFIRMED: Ndesamburo ashinda Moshi mjini

Elections 2010 CONFIRMED: Ndesamburo ashinda Moshi mjini

chokambayaa

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
546
Reaction score
69
Ndesamburo wa CHADEMA kapeta kwa kura 28,997 anayefuatia
Chadema inatisha Mkubwa!!
 
Huyo bwana ati wanamwita Ndesapesa - it was expected anyway!
 
Hakuna jipya hapo nilijua tu mafisadi hawana nafasi Moshi!
 
Mwaka huu Bunge si la ndiyo mzee tena. Mwamko unakuja TZ sasa.
 
Ila Chama cha upinzani kitakuwa CUF, maana Zanziba Pemba wana majimbo 18, Unguja Majimbo 4 bado huku Bara.
 
Ila Chama cha upinzani kitakuwa CUF, maana Zanziba Pemba wana majimbo 18, Unguja Majimbo 4 bado huku Bara.

hivi hawa wabunge sijui wawakilishi wa cuf huko pemba na unguja wote wanaingia bunge la muungano,au utaratibu ukoje?
 
Back
Top Bottom