Elections 2010 CONFIRMED: Nyamagana - CHADEMA (Wenje) watangazwa rasmi washindi

Elections 2010 CONFIRMED: Nyamagana - CHADEMA (Wenje) watangazwa rasmi washindi

Halisi

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2007
Posts
2,802
Reaction score
614
Wenje katangazwa rasmi mshindi

KURA:

CHADEMA (Wenje): 38,171
CCM (Masha): 27,883
 
wamebana na sasa wameachia, hureeeeeeee Wenje
Star tv
 
NYAMAGANA TUMEIKOMBOA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEE,,,ATA CHADEMA INGEKOSA KOTE NILITAKA MWANZAA TU WASHINDE
walai uyu mototo Wenje kanifurahisha chadema mwanza safiiiiiiii
 
Ya kweli haya? nimeshachoka mie....

FIGURES zipoje?
 
Amwaga Masha
Wenje38,831,
Masha 27,883

Mji unazizima

kuchelewesha matokeo kumeleta fujo, tunaendelea kuimba wamebana wameachia!!

Source Star TV now
 
Hatimaye wamesalimu amri! Safi sana!!
 
afadhali Masha alitumia uraia kukwepa upinzani,BUT WHEN GOD SAYS YES NO NOOOO ONE CAN SAY NO.
 
Bila nguvu ya umma wangechakachua..walijua hapatakalika khekheekhehehhheh.....Peoplessssssss.............?????????????????????????????????????
 
watu tupo eneo la tukio wewe alaaa!!
 
Good news then.
Kwaheri fisadi Masha. Haki hainunuliwi. Mmeinyonya nchi yetu na Deep Green yenu na kampuni yenu ya sheria kusaini mikataba ya wizi wa madini yetu.
 
kama chadema wanashinda ubunge mbona urais iwe ngumu?
 
Back
Top Bottom