gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Serikali walijua, ndiyo maana rais akahamia Dodoma,wangezuwia kura zingepigwa vipi!?Kwani serikali wao walijua kama Genz wangeweza kufanya kile walichokifanya? Kama walijua basi walifanya uzembe maana wangeweza kuzuia kama walivyofanya kipindi cha krismas na hiyo 9 Dec.