Confirmed, Nyumba ya Stevin Wassira ilichomwa moto kwenye MO29

Kwani serikali wao walijua kama Genz wangeweza kufanya kile walichokifanya? Kama walijua basi walifanya uzembe maana wangeweza kuzuia kama walivyofanya kipindi cha krismas na hiyo 9 Dec.
Serikali walijua, ndiyo maana rais akahamia Dodoma,wangezuwia kura zingepigwa vipi!?
 
Kuchukua nchi,una akili timamu wewe, unafikiri kuchukua nchi ni kama nyeto unazopiga!?
 
Serikali walijua, ndiyo maana rais akahamia Dodoma,wangezuwia kura zingepigwa vipi!?
Kwahiyo serikali ilijua ila haikuwa na namna ya kuzuia zaidi ya kumficha rais na kusubiri hadi tatizo litokee kisha ndio walikabiri?

Kuhusu kura zingepigwa hivyo hivyo, kama imewezekana watu kupiga kura katika mazingira ya machafuko kama yale ya polisi kuuwa watu hovyo mitaani huko hawachagui na vituo vya upigaji kura kuchomwa moto ila bado zikapatikana kura za kutosha kabisa basi pia hata wangezuia bado watu wangeweza kupiga kura.
 
Viongozi wa CCM wanakera sana, wana maneno yasiyo na utu kabisa kwa sababu wanajua vyombo vya ulinzi viongozi wao wana kadi za kijani.
 
Kwahiyo serikali ilijua ila haikuwa na namna ya kuzuia zaidi ya kumficha rais na kusubiri hadi tatizo litokee kisha ndio walikabiri?
Wewe kama mshauri mtaalam wa ulinzi na usalama sema serikali ingefanikishaje uchaguzi tofauti na ilivyofanya
Watu walipigwa na waandamanaji vituo vya kupiga kura dar, serikali ilianza kufumua mafuvu baada ya zoezi la kura kukamilika,japo kwa uchache morogoro road na kawawa road shaba zilianza mapema
 
Utajua mwenyewe ila MO29 iliweka blue print kuwa Watanzania sio wanyonge, kiberiti kilitembea aswaa
then baada ya hapo? ama story ndo imeishia apo? vp umekua tajiri baada ya kufurahia nyumba ya mwingine kuchomwa?
 
*Toka MO29 Wassira kawa na adabu kwelikweli, anaona aibu kutoa kichwa.

MO29 imekuwa game changer kwenye political atmosphere ya Tanzania*
 
Mimi ningeshauri kusitisha zoezi la uchaguzi kwanza maana kama tumenusa hali ya hatari yenye kuhatarisha badi usalama wa Amiri jeshi mkuu na kufanya kuongeza ulinzi zaidi basi pia ningefikiria na usalama wa raia na nchi kwa ujumla.

Kwa sababu kilichotokea sio kimeitia doa Tanzania kama asemavyo Samia bali kimeichafua kabisa Tanzania na wakati kulikuwa na uwezo wa kuzuia hali hiyo.

Waandamanaji waliweka wazi kabisa kuwa walichagua kufanya maandamano siku ya uchaguzi kwa sababu watu watatoka siku hiyo kwenda kupiga kura na jeshi la polisi walikuwa wanaongea kabla ya uchaguzi kuwa wanawajua wanaochochea vurugu ila et watashughulika nao baada ya uchaguzi kufanyika.
 
Ingechomwa akiwa ndani ingekuwa bomba sana, wazee sampuli ya Wasira hawana faida yoyote kwa Taifa hili.
 
then baada ya hapo? ama story ndo imeishia apo? vp umekua tajiri baada ya kufurahia nyumba ya mwingine kuchomwa?
Yaani nilifurahi saaaana

Kiberiti kilivyotembea

Na jinsi MO29 ilivyo muharibia Samia, ata kwenda hapo Kenya anaogopa, amechafuka aswaaaaaaaa

Viva MO29
 
Kuna chizi mmoja wa CCM Geita alikuwa anapita vijiwe vya Bodaboda... Na kuwatushia sisi ni chama dola..
Ole wenu nisikie mnashabikia vyama vingine...

Alitamba sana mitaani...Tarehe 30..sio 29 nyumba yake ilipigwa kiberiti...
Akawa anatafutwa...akajificha wiki nzima...
Geita ni Moja ya maeneo yaliwaka moto sana...japo haizungumzwi sana
 
Kuna bwege mmoja huko Tabata mmiliki wa gereji alikuwa anajifanya yeye ni CCM zaidi kuliko hata CCM yenyewe, wana wakaenda kuchoma gereji yake ilibidi akimbilie kijijini kwao kwani watu walitaka kumgeuza mshikaki siku hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…