Gosbertgoodluck
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 2,855
- 402
Well some got to say it..
Akoonay has almost 40,000 votes against under 20,000!!!
Nimeona kwenye ITV sasa hivi kwamba Bw. (siyo Mhe) amebwangwa ile mbaya. Hongereni wanaharakati kwa ukombozi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Well some got to say it..
Akoonay has almost 40,000 votes against under 20,000!!!
Siamini macho yangu kwamba Marmo is no longer, VIJANA WA UNIVERSITIES wamefanya kazi yao. Aliwaita siku mmoja kule jimboni na kuwapiga darasam wakaanza kumwuliza umefanya nini mzee miaka 35 akaanza kuwatusi. Marmo anakuwa mbunge nilikuwa darasa laa nne leo nina familia na nimemaliza madara yote. Hongera wanamageuzi, historia ya Sarwat inawatafuna CCM taratiiiiiiiiiibuyou can say that again and again
Ina maana huyu Mama Mongela nae amekiona cha moto sio?.Nimefurai Mongela na Uyu Marmo kungolewa ila wangeongezea na Chiligati hawa hujifanya wana Hati miliki