Elections 2010 Confirmed: Sugu mbunge mpya Mbeya Mjini

Elections 2010 Confirmed: Sugu mbunge mpya Mbeya Mjini

Nyambala

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2007
Posts
4,465
Reaction score
1,171
Napata habari hapa kutoka ndani ya chumba cha kujumlishia matoke CHADEMA imeshinda na sugu ndiye mbunge wa Mbeya Mjini.
 
Nyambala thanks, ila habari kama hizi zinahitaji fugures, please!
 
napata habari hapa kutoka ndani ya chumba cha kujumlishia matoke chadema imeshinda na sugu ndiye mbunge wa mbeya mjini.

teh, teh, teh....
Upepo wa mageuzi umeshika kasi tanzania.
Bravo mr sugu.
 
Ninaitwa Sugu nani ninaitwa sugu sugu sugu sugu! Wow kila heri mjengoni
 
Nyambala thanks, ila habari kama hizi zinahitaji fugures, please!

Yea mkuu hicho ndicho nangojea sasa ntakuja na hizo data muda si mrefu, ila my source ni high level na reliable
 
Tupeni figures jamani...Am dying to receive them!
 
Sugu moto chini, sugu moto chini X 4
Sugu moto chini, sugu moto chini aaaa-aa-aa-aaah.....!
 
Jamani tupeni figa za Mafiati, Makunguru, Mwanjelwa, Uhindini, Ghana, Nzovwe nk
 
"Watoto wa magorofani, hamjui mimi ni nani, ni sugu maza f***ker nimekuja kuwapaka" Kibonde na mboga wenzio mkawe mkao wa kuliwa oops sorry, kula . "Na nyie watangazaji hapo, this is too big for u" hivyo ni vipande vya antivirus! Sugu pamoja sana, songa mbele!
 
Sasa watanzania wameanza kuelewa kuwa CHADEMA ni sugu. Tambo za CCM zinaanza kuishia ukingoni. HAKUNA CHA 80% mwaka huu. Hongereeni wana CHADEMA keeeep it uuuuuuuuuuuuuuup
 
hatimaye watoto wetu watakuja kuiona ile nchi ya ahadi...congrats SUGU....
 
Sugu moto chini Sugu moto chini aha aha ahaaaaa

Last edited by a moderator:
"Watoto wa magorofani, hamjui mimi ni nani, ni sugu maza f***ker nimekuja kuwapaka" Kibonde na mboga wenzio mkawe mkao wa kuliwa oops sorry, kula . "Na nyie watangazaji hapo, this is too big for u" hivyo ni vipande vya antivirus! Sugu pamoja sana, songa mbele!

Leo nitacheka sanaaaa tu
 
Back
Top Bottom