Elections 2010 CONFIRMED: Vunjo ni ya Mrema Augustine!

Elections 2010 CONFIRMED: Vunjo ni ya Mrema Augustine!

Hongera sana Mrema, kazi yako nzuri miaka ya 90 imefanya wananchi wakuamini.
 
Je ameshinda kwa ujumla wa majimbo au ni kwa badhi ya vituo?
Nimeamini kila jambo linawezekana
 
Kwa mrema hiyo tunaita "a set back for a major come back"
 
Bora hata huyo kuliko wangekuwa CCM, lakini hata huyo nae haeleweki tusubiri!
 
hongera zake, mzee wa kiraracha japo pole kubwa kwa kijana mpiganaji john mrema, natumaini 2015 mzee wa kiraracha atakuwa kachoka sasa, hapo john mrema atapokea kijiti

Ngoja tuanze kuona machachari yake
 
Naona ndo kiinua mgongo chake for the comming 5 years si haba
 
Bora hata huyo kuliko wangekuwa CCM, lakini hata huyo nae haeleweki tusubiri!

Mkuu, kumbukeni hata wana CCM walikua radhi Mrema apate ili wamwangushe Mbowe. Hiyo ni nafuu sana kwa CCM maana walikua wanapigana kufa na kupona kuhakikisha Mbowe hapati.
 
naam pensheni ya mzee! mzee mrema akienda dodoma amkane kikwete la sivyo atajimaliza kisiasa!
 
Mzee wa mabomu anarudi mjengoni... haha haaaaaaa Hongera upinzani
 
Bora apate ahueni kidogo make alikuwa hoi sana hata kiuchumi.hongera Tine
 
Nami nimesikia Vunjo jamaa katesa!!!!!! Hivi hawa watu wakoje? Kukoje huko kwa wanaopajua? Kuna tatizo pale.
 
MREMA ni mvulugaji wa mambo, sio number safi hata kidogo. nadhani wabunge wengine wa upinzani wamwangalie huyu mzee vizuri. Kumshinda John anastahili pongezi.
 
Mwaka Huu ipo kazi kweli Kweli. Kam Huyu Mzee wa Kiraracha nae kashinda.
 
Back
Top Bottom