Source wa hii news ni mshikaji wangu wa karibu alienda leo board kuulizia abt hilo suala.bt hii inawahusu wale tu waliowekewa herufi A-k,kama umewekewa herufi l,m,n,o,p na r be patient kuna error ilijitokeza na mtawekewa grades zenu soon,kama hujawekewa herufi yeyote ndo umekosa mkopo hvo.ndio hayo tu jamani,me cjawekewa herufi yoyote coz ckuapply,ila naanza kujutia uamuzi wangu sasa coz nimeona raia weng hata wale wa non priority wamelambwa mkopo.
unaweza kuta uyo jamaa ako amejipiwa na walinzi wa pale HESLB!
matokeo ya udsm mwisho mwa matokeo ya o levelEti izo herufi zinapatikana sehem gan? Na je ni kwa wale wa udom or udsm ama kwa wote! Tafadhari nielekeze hizo herufi unaziangalia wapi wakuu