CONFIRMED

CONFIRMED

Mzee kilomoni popote ulipo nakuheshimu mzee,
Mzee umri huo acha kabisa kusumbuana sumbuana na mambo haya ya mpira kichaa wa tanzania,watakupandisha presha tu wakupe maradhi ya moyo mzee wangu.
Mzee kapumzeke kwenye shamba lako la kibada kigamboni
 
Habari hii ni mbaya sana kwa Victor wa happy ,maana si masika wala kiangazi yeye ilikuwa ni kumpa airtime ya kutoka Mzee 'Kidomoni'. Halafu ieleweke:Simba ina namna nzuri ya kudeal na wazee wanga kama huyo mdingi.Simba siyo kama wale jamaa walioshindwa kumdhibiti Mzee 'Akili ni nywele kila mtu ana zake'.Angekuwa kwetu huyo Mzee Akili naye tungemnyoosha kama rula.
 
Mzee kaingia ndani ya 18 za Simba,ikiishatangazwa Magazetini na kutolewa nyingine Mzee Kilomoni anaitumia hati yake kuwatapeli Yanga kuwa anapauza
Kuongoza mambumbumbu raha unayadanganya tu yanashangilia we unapiga pesa
 
Yeye ana hati za sunderland sio simba, Nyie Simba katafuteni hati zenu mumpe MO.
Hizo hati awape yanga wauze wapate hela wawanunulie chakula wachezaji...wachezaji wanashindia matikiti kule bigwa morogoro
 
Why all the trouble kama hana hati?
Trouble zipi...trouble zipo kwa wale washindia matikiti kule bigwa morogoro...sisi tupo zetu south nyie endeleeni kuwaimba wakina mzee kilomoni na hizo hati...hizo hati zinaweza wasaidia gogowazi wasife njaa 😂 😂 😂
 
Sauz au Lushoto?
1155340

Ngoja Mhindi apate hati awakaange vizuri
Mzee amewashika pabaya
Wanatapatapa. Angalia barua za 2017. Walikuwa wapi muda wote huo?
Trouble zipi...trouble zipo kwa wale washindia matikiti kule bigwa morogoro...sisi tupo zetu south nyie endeleeni kuwaimba wakina mzee kilomoni na hizo hati...hizo hati zinaweza wasaidia gogowazi wasife njaa 😂 😂 😂
 
Sauz au Lushoto?View attachment 1155340
Ngoja Mhindi apate hati awakaange vizuri

Wanatapatapa. Angalia barua za 2017. Walikuwa wapi muda wote huo?
Tabu ipo palepale...leta picha ya ile timu ambayo wachezaji wamebeba matikiti kwenye mazoezi...kwa taarifa yako huo ndo uwanja iliyokuwa inatumia timu ya england kufanya mazoezi wakati wa world cup 2014...kwasukwasu fc mtaishia kuuona kwenye video
 
Mzee kawashika mashabiki wa gongowazi...wanaacha kujadili timu lao linaloshindia matikiti kule morogoro wanajadili habari za simba ambao wapo south africa kula maisha
Team ya wananchi inaawanyoosha wajomba zako waruguru uko morogoro

Ponjoro mò kawaleta mapojõro wenzake wačheza cricket toka india anawadanganya kuwa ni wabrazil
 
vukagula wa Mo naona mnatapatapa kushinda na huyu mzeee mtachezea za USO kuna kundi kubwa LA wakubwa pembeni ya kilomoni MTU kama mkwabi viongozi wakubwa nk .....wemetoa mchango mkubwa sana kwa SIMBA hawezi kukubali final finance ya simba aishikilie yule muhindi

Unakumbuka kilicho mkuta MANJI alipotaka kuimiliki Yanga?? embu sikiliz kauli za Rostamu juzi baada kutanga kuipa Yanga MLN.200

Hii league tamu ngoja tubakishe maneno yakusema
 
Team ya wananchi inaawanyoosha wajomba zako waruguru uko morogoro

Ponjoro mò kawaleta mapojõro wenzake wačheza cricket toka india anawadanganya kuwa ni wabrazil
Team ya wananchi inawanyoosha waruguru kwa kuwaibia matikiti shambani kwao
 
sasa ninyi wanasimba njaa,wapenda pesa za bure,huyo ponjolo wenu anataka Hati ya nini na alisema atawekeza bilioni 20???au anataka akakopee hela Bank???na akina magoli nao kama mazuzu mnataka mumpe Hati ili iweje???kwani bila hiyo hati hizo 20 bilions hatoi au hati ndo mdhamana wa hela zake???Shauri yenu nyie muoneni huyo mzee fala tu,wahindi mnawajua vizuri sana akishika Hati huyo mtajuta ili kuwarudidhia labda mumteke tena,mlimsikia manji hela alokuwa anaidai Yanga na ndo wala hakuwa na Hati,je huyo mkimkabidhi hati itakuaje sasa.
 
Tabu ipo palepale...leta picha ya ile timu ambayo wachezaji wamebeba matikiti kwenye mazoezi...kwa taarifa yako huo ndo uwanja iliyokuwa inatumia timu ya england kufanya mazoezi wakati wa world cup 2014...kwasukwasu fc mtaishia kuuona kwenye video
Unaweza kudhania Dunia imeanza leo. Vitu hivyo watu wamefanya hadi kukinai. Jwa wengine nu vitu vipya kabisa.
 
Back
Top Bottom