The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 1,993
- 2,635
Mzee Kilomoni sio mdhamini wa simba na wala hana hati ya Simba.
Kilomoni Kilomoni, unaitakia nn Simba Kilomoni?
Kilomoni Kilomoni, unaitakia nn Simba Kilomoni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye ana hati za sunderland sio simba, Nyie Simba katafuteni hati zenu mumpe MO.Mzee Kilomoni sio mdhamini wa simba na wala hana hati ya Simba.
Kilomoni Kilomoni, unaitakia nn Simba Kilomoni?
Mzee kaingia ndani ya 18 za Simba,ikiishatangazwa Magazetini na kutolewa nyingine Mzee Kilomoni anaitumia hati yake kuwatapeli Yanga kuwa anapauzaMzee anawangalia tu afu anawachekaa
Kuongoza mambumbumbu raha unayadanganya tu yanashangilia we unapiga pesaMzee kaingia ndani ya 18 za Simba,ikiishatangazwa Magazetini na kutolewa nyingine Mzee Kilomoni anaitumia hati yake kuwatapeli Yanga kuwa anapauza
Why all the trouble kama hana hati?Mzee Kilomoni sio mdhamini wa simba na wala hana hati ya Simba.
Kilomoni Kilomoni, unaitakia nn Simba Kilomoni?
Hahahaha, asee kama iko hivi basi muzee kilomoni yuko vzrYeye ana hati za sunderland sio simba, Nyie Simba katafuteni hati zenu mumpe MO.
Hizo hati awape yanga wauze wapate hela wawanunulie chakula wachezaji...wachezaji wanashindia matikiti kule bigwa morogoroYeye ana hati za sunderland sio simba, Nyie Simba katafuteni hati zenu mumpe MO.
Mzee kawashika mashabiki wa gongowazi...wanaacha kujadili timu lao linaloshindia matikiti kule morogoro wanajadili habari za simba ambao wapo south africa kula maishaMzee amewashika pabaya
Trouble zipi...trouble zipo kwa wale washindia matikiti kule bigwa morogoro...sisi tupo zetu south nyie endeleeni kuwaimba wakina mzee kilomoni na hizo hati...hizo hati zinaweza wasaidia gogowazi wasife njaa 😂 😂 😂Why all the trouble kama hana hati?
Wanatapatapa. Angalia barua za 2017. Walikuwa wapi muda wote huo?Mzee amewashika pabaya
Trouble zipi...trouble zipo kwa wale washindia matikiti kule bigwa morogoro...sisi tupo zetu south nyie endeleeni kuwaimba wakina mzee kilomoni na hizo hati...hizo hati zinaweza wasaidia gogowazi wasife njaa 😂 😂 😂
Tabu ipo palepale...leta picha ya ile timu ambayo wachezaji wamebeba matikiti kwenye mazoezi...kwa taarifa yako huo ndo uwanja iliyokuwa inatumia timu ya england kufanya mazoezi wakati wa world cup 2014...kwasukwasu fc mtaishia kuuona kwenye videoSauz au Lushoto?View attachment 1155340
Ngoja Mhindi apate hati awakaange vizuri
Wanatapatapa. Angalia barua za 2017. Walikuwa wapi muda wote huo?
Team ya wananchi inaawanyoosha wajomba zako waruguru uko morogoroMzee kawashika mashabiki wa gongowazi...wanaacha kujadili timu lao linaloshindia matikiti kule morogoro wanajadili habari za simba ambao wapo south africa kula maisha
Team ya wananchi inawanyoosha waruguru kwa kuwaibia matikiti shambani kwaoTeam ya wananchi inaawanyoosha wajomba zako waruguru uko morogoro
Ponjoro mò kawaleta mapojõro wenzake wačheza cricket toka india anawadanganya kuwa ni wabrazil
Unaweza kudhania Dunia imeanza leo. Vitu hivyo watu wamefanya hadi kukinai. Jwa wengine nu vitu vipya kabisa.Tabu ipo palepale...leta picha ya ile timu ambayo wachezaji wamebeba matikiti kwenye mazoezi...kwa taarifa yako huo ndo uwanja iliyokuwa inatumia timu ya england kufanya mazoezi wakati wa world cup 2014...kwasukwasu fc mtaishia kuuona kwenye video