Mr Morogoro
JF-Expert Member
- Apr 23, 2019
- 1,245
- 1,732
Kwa hiyo unataka kusema wachezaji kushindia matikiti haijaanza leo mkuu???Unaweza kudhania Dunia imeanza leo. Vitu hivyo watu wamefanya hadi kukinai. Jwa wengine nu vitu vipya kabisa.
Ulimbukeni haujaanza leo.Kwa hiyo unataka kusema wachezaji kushindia matikiti haijaanza leo mkuu???
Vipi kuhusu timu kushindia matikiti....kumeanza leo???Ulimbukeni haujaanza leo.
Umesikia huko Mzee anauliza Magori ni nani na jumatano ijayo amesema ni mwisho na mwanzo analipua kila kituVipi kuhusu timu kushindia matikiti....kumeanza leo???
Hahaaaah so yanga ckuhz mnamtegemea mzee kilomoni ndo kageuka kuwa faraja yenu....endeeleni kumsubiri iyo jumatano ijayo awalipulie kila kitu labda kuanzia hapo timu lenu la matikiti fc litaacha kuzunguka na mabakuli...hahaah kuanzia juma tano ijayo njaa kwisha kabisa yangaπππππUmesikia huko Mzee anauliza Magori ni nani na jumatano ijayo amesema ni mwisho na mwanzo analipua kila kitu
Sasa hapa Yanga anahusikaje mkuu fafanua?Hahaaaah so yanga ckuhz mnamtegemea mzee kilomoni ndo kageuka kuwa faraja yenu....endeeleni kumsubiri iyo jumatano ijayo awalipulie kila kitu labda kuanzia hapo timu lenu la matikiti fc litaacha kuzunguka na mabakuli...hahaah kuanzia juma tano ijayo njaa kwisha kabisa yangaπππππ
Hebu lete details Kamanda. Magori tapeli was NSSF wanamwona was maana sana.Umesikia huko Mzee anauliza Magori ni nani na jumatano ijayo amesema ni mwisho na mwanzo analipua kila kitu
Kwani we shabiki wa matikiti fc umehusikaje kwenye thread ya masuala ya simbaSasa hapa Yanga anahusikaje mkuu fafanua?
Mzee kilomoni kakata kabisa kufunguka ila kasema jumatano ndiyo itakuwa mwanzo na mwisho wa hilo sualaHebu lete details Kamanda. Magori tapeli was NSSF wanamwona was maana sana.
Sawa kila la kheri maana wewe kwenye vikao ungekuwa unatandika watu makofiKwani we shabiki wa matikiti fc umehusikaje kwenye thread ya masuala ya simba
Humu hapawezi kuwa na thread ya masuala ya Simba au timu yoyote. JF ni public platform.Kwani we shabiki wa matikiti fc umehusikaje kwenye thread ya masuala ya simba
Sawa mkuu kila la kheri katika mazoezi yenu huko morogoro...ila chondechonde mkuu msije mkatumalizia matikiti yetu mashambaniSawa kila la kheri maana wewe kwenye vikao ungekuwa unatandika watu makofi
Hahaaaah shabiki wa makwasukwasu fc yupo serious kabisa anamfuatilia mtu anayeitwa mzee kilomoni....mchukueni waungane na yule mzee akilimali muwape yanga ili yanga ipige hatua π π π π π πMzee kilomoni kakata kabisa kufunguka ila kasema jumatano ndiyo itakuwa mwanzo na mwisho wa hilo suala
Naona umedandia treni kwa mbele bila kujua niliyemjibu hivyo alinambia niniππHumu hapawezi kuwa na thread ya masuala ya Simba au timu yoyote. JF ni public platform.
Tuzingatie hilo. Ama unaleta iwa ya umma, ama unakaa nayo huko huko kimoyomoyo.
Kwa jinsi ulivyo na hasira za karibu lazima mzee Kilomoni tumuekee ulinzi wa kiserikaliHahaaaah shabiki wa makwasukwasu fc yupo serious kabisa anamfuatilia mtu anayeitwa mzee kilomoni....mchukueni waungane na yule mzee akilimali muwape yanga ili yanga ipige hatua π π π π π π
Hahaaah badala ya kumwekea ulinzi serikali itatumia iyo pesa kwa kuzipeleka kule morogoro kuisaidia timu moja ambayo wachezaji wake wanashindia matikiti π π π πKwa jinsi ulivyo na hasira za karibu lazima mzee Kilomoni tumuekee ulinzi wa kiserikali
Hivi wakati wa Sunderland kilomoni alikuwa na miaka mingapi ya kuzaliwa?Yeye ana hati za sunderland sio simba, Nyie Simba katafuteni hati zenu mumpe MO.
Ilo sio swali Simba ilikua na majina yafuatayo, Queens, Eagles, Sunderland Mwaka 1971 Sheikh Karume wakati anaipatia Simba msaada wa kifedha ambao inasemekana uliwawezesha simba kupata fedha za kupata Jengo la Klabu, aliwataka waachane na jina Sunderland kwan limekaa kikoloni.Hivi wakati wa Sunderland kilomoni alikuwa na miaka mingapi ya kuzaliwa?
Ukinijibu hili swali nitakuona una akili
Ni swali na bado haujalijibu sikukuuliza historia ya club ya Simba kwa ujumla nimekuuliza kuhusu jina la Sunderland wakati Simba ikiitwa Sunderland mzee kilomoni alikuwa mchezaji wake!Ilo sio swali Simba ilikua na majina yafuatayo, Queens, Eagles, Sunderland Mwaka 1971 Sheikh Karume wakati anaipatia Simba msaada wa kifedha ambao inasemekana uliwawezesha simba kupata fedha za kupata Jengo la Klabu, aliwataka waachane na jina Sunderland kwan limekaa kikoloni.
Sunderland ni jina la klabu ya soka uko England aka washauri ni bora wajiite Simba mwekundu kwakua walikua wakitumia rangi nyekundu na baada ya pale Simba ilibadili jina kutoka Sunderland hadi Simba sports club mwama 1971.
Sasa mwaka 1971 Kilomoni ni mtu mzima anaye jitambua.