CONFIRMED

CONFIRMED

Umesikia huko Mzee anauliza Magori ni nani na jumatano ijayo amesema ni mwisho na mwanzo analipua kila kitu
Hahaaaah so yanga ckuhz mnamtegemea mzee kilomoni ndo kageuka kuwa faraja yenu....endeeleni kumsubiri iyo jumatano ijayo awalipulie kila kitu labda kuanzia hapo timu lenu la matikiti fc litaacha kuzunguka na mabakuli...hahaah kuanzia juma tano ijayo njaa kwisha kabisa yanga😂😂😂😂😂
 
Sasa hapa Yanga anahusikaje mkuu fafanua?
 
Kwani we shabiki wa matikiti fc umehusikaje kwenye thread ya masuala ya simba
Humu hapawezi kuwa na thread ya masuala ya Simba au timu yoyote. JF ni public platform.
Tuzingatie hilo. Ama unaleta iwa ya umma, ama unakaa nayo huko huko kimoyomoyo.
 
Mzee kilomoni kakata kabisa kufunguka ila kasema jumatano ndiyo itakuwa mwanzo na mwisho wa hilo suala
Hahaaaah shabiki wa makwasukwasu fc yupo serious kabisa anamfuatilia mtu anayeitwa mzee kilomoni....mchukueni waungane na yule mzee akilimali muwape yanga ili yanga ipige hatua 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Humu hapawezi kuwa na thread ya masuala ya Simba au timu yoyote. JF ni public platform.
Tuzingatie hilo. Ama unaleta iwa ya umma, ama unakaa nayo huko huko kimoyomoyo.
Naona umedandia treni kwa mbele bila kujua niliyemjibu hivyo alinambia nini😂😂
 
Hahaaaah shabiki wa makwasukwasu fc yupo serious kabisa anamfuatilia mtu anayeitwa mzee kilomoni....mchukueni waungane na yule mzee akilimali muwape yanga ili yanga ipige hatua 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Kwa jinsi ulivyo na hasira za karibu lazima mzee Kilomoni tumuekee ulinzi wa kiserikali
 
Hahaaah badala ya kumwekea ulinzi serikali itatumia iyo pesa kwa kuzipeleka kule morogoro kuisaidia timu moja ambayo wachezaji wake wanashindia matikiti 😂 😂 😂 😂
 
Yeye ana hati za sunderland sio simba, Nyie Simba katafuteni hati zenu mumpe MO.
Hivi wakati wa Sunderland kilomoni alikuwa na miaka mingapi ya kuzaliwa?

Ukinijibu hili swali nitakuona una akili
 
Ilo sio swali Simba ilikua na majina yafuatayo, Queens, Eagles, Sunderland Mwaka 1971 Sheikh Karume wakati anaipatia Simba msaada wa kifedha ambao inasemekana uliwawezesha simba kupata fedha za kupata Jengo la Klabu, aliwataka waachane na jina Sunderland kwan limekaa kikoloni.
Sunderland ni jina la klabu ya soka uko England aka washauri ni bora wajiite Simba mwekundu kwakua walikua wakitumia rangi nyekundu na baada ya pale Simba ilibadili jina kutoka Sunderland hadi Simba sports club mwama 1971.
Sasa mwaka 1971 Kilomoni ni mtu mzima anaye jitambua.
 
Ni swali na bado haujalijibu sikukuuliza historia ya club ya Simba kwa ujumla nimekuuliza kuhusu jina la Sunderland wakati Simba ikiitwa Sunderland mzee kilomoni alikuwa mchezaji wake!

Na muasisi wa klabu ya Simba anaitwa mzee Issa ausi sasa kwa taarifa yako hakuna mwenye hatimiliki na klabu ya Simba ila wanachama, fedha za mapato zinazopatikana kwenye jengo zinaingia kwenye mfuko wa klabu na si mifuko ya watu muulize kilomoni wako kama huwa analamba hata mia

Lile zee linatumiwa na kina Aveva watakatishaji fedha ataishia kubaya na uzee ule atajuta sana
 
Write your reply..
Jana kuna timu huko Morogoro ilikuwa inafanya practical ya kuvuna maboga na matikiti 😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom