CONFIRMED

CONFIRMED

Jamani wale wenye mashamba ya matikiti, maboga, matango, mananasi maeneo ya morogoro imarisheni ulizi kuna wavamizi wanapitia shamba moja baada ya lingine.
 
kuna nguruwe pori kutoka Jangwani wanakula sana hayo mazao aisee, wakulima wawe makin huko mji kasoro Coco Beach😂
 
Ni swali na bado haujalijibu sikukuuliza historia ya club ya Simba kwa ujumla nimekuuliza kuhusu jina la Sunderland wakati Simba ikiitwa Sunderland mzee kilomoni alikuwa mchezaji wake!

Na muasisi wa klabu ya Simba anaitwa mzee Issa ausi sasa kwa taarifa yako hakuna mwenye hatimiliki na klabu ya Simba ila wanachama, fedha za mapato zinazopatikana kwenye jengo zinaingia kwenye mfuko wa klabu na si mifuko ya watu muulize kilomoni wako kama huwa analamba hata mia

Lile zee linatumiwa na kina Aveva watakatishaji fedha ataishia kubaya na uzee ule atajuta sana
Please leave Aveva alone. Mtu yupo mahabusu anamtumia vipi Kilomoni?
 
Chama la Wananchi. Issue ya Aveva ni ubinadamu tu.
Basi kausha kwa kuwa sio mwanachama wa klabu ya Simba S.C.

Sisi wanachama tunayajua yaliyo mengi kwenye vikao vyetu tunayazungumza haya na yanafahamika juzi hapa kulikuwa na kikao cha bodi ya wakurugenzi yaliyozungumzwa ni mazito, mimi natokea kamati ya roho mbaya sasa fatilia kokote uijue kamati ya roho mbaya ya klabu ya Simba ni ipi

BTW wewe ni mpinzani wangu tu sina haja ya kubishana na wewe wala kukupa lolote fanyeni yenu ya Simba hayawahusu
 
Mzee anawangalia tu afu anawachekaa
halafu anacheka hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Ni swali na bado haujalijibu sikukuuliza historia ya club ya Simba kwa ujumla nimekuuliza kuhusu jina la Sunderland wakati Simba ikiitwa Sunderland mzee kilomoni alikuwa mchezaji wake!

Na muasisi wa klabu ya Simba anaitwa mzee Issa ausi sasa kwa taarifa yako hakuna mwenye hatimiliki na klabu ya Simba ila wanachama, fedha za mapato zinazopatikana kwenye jengo zinaingia kwenye mfuko wa klabu na si mifuko ya watu muulize kilomoni wako kama huwa analamba hata mia

Lile zee linatumiwa na kina Aveva watakatishaji fedha ataishia kubaya na uzee ule atajuta sana
Kwanza nikufahamishe mim ni Yanga ila izi club Nyingi hasa za DAR nazifahamu kiasi, Kilomoni ameanza kucheza simba B kwa miaka mitatu mfululizo wakatiuo inaitwa Sunderland, Baada ya miaka mitatu wazee wa club wakamwita, Mwenyekiti wa Sunderland wakati uo alikua SHARIF KHATAS yeye na Wazee wengine wa Sunderland waka mweleza Kilomon kuwa wanampandisha kutoka tim B kwenda timu A.

Alicheza Sunderland A kwa miaka 3 Wale wale wazee wakamwita tena wakamwambia sasa uache kucheza mpira, tunakupa jukumu lingine utakua katibu wa Timu. wakati uo bado timu inaitwa Sunderland na Kilomon wakati anacheza alikua akicheza namba 6.kwaiyo aliacha kucheza japo mwenyewe alikua akipenda kucheza ila wazee walikua wana muandaa awe kiongozi kutokana na uaminifu na mapenzi kwa club.
Kwa ufupi Kilomon ndiye aliye kuwa katibu wakati Sunderland inabadilika kuja kuwa Simba, Yeye na Wenzake wanne kwa sasa wengine wamesha fariki ndio walitambuliwa kama wadhamin wa klabu.
Kilomon alikuwepo tangu jengo la sasa la klabj halijajengwa anafahamu mchakato wa kiwanja na upatikanaji wa hati ya kiwanja. Yeye kama katibu aliye aminiwa na waliokua wazee wa Sunderland ndiye ambaye ana ishikilia hati ya jengo la simba.
Kuhusu kama anafaidika au hafaidiki na pesa za pango wanazolipa wafanya biashala ilo mim sijui. Nilichotaka ufahamu Kilomon kwasasa Ndiye mwenye hati na ni mdhamin wa mali za club na itaendelea kubaki ivyo mbaka avunje mashart ya kuwa na sifa za udhamini wa club.
 
Kwa kuwa umejitanabaisha kama shabiki wa Yanga sina haja ya kulumbana ma wewe huwezi ukaitakia mema club yetu na sisi kama wanachama ndio wenye hatimiliki na club yetu.

Endelea kuisapoti Club yako achana na habari za Simba, Simba ya sasa si sawa na ile uliyokuwa ukiisikia haiongozwi na wazee tena!
 
Basi kausha kwa kuwa sio mwanachama wa klabu ya Simba S.C.

Sisi wanachama tunayajua yaliyo mengi kwenye vikao vyetu tunayazungumza haya na yanafahamika juzi hapa kulikuwa na kikao cha bodi ya wakurugenzi yaliyozungumzwa ni mazito, mimi natokea kamati ya roho mbaya sasa fatilia kokote uijue kamati ya roho mbaya ya klabu ya Simba ni ipi

BTW wewe ni mpinzani wangu tu sina haja ya kubishana na wewe wala kukupa lolote fanyeni yenu ya Simba hayawahusu
Lolote la mwana Kariakoo mmoja, linamhusu mwingine.
Hilo haliwezi kufutika.
 
😂😂😂 Mnafahamiana kwa vilemba nyie watoto wa kariakoo! Acha wengine tubaki watazamaji/ mashabiki tu..
 
Eneo lote ni Kariakoo. Humo kuna sehemu tofauti tofauti. Hujui hilo?
Hahaha wewe hapa mjini hupajui au umekuja tu!

Yanga iko kata ya jangwani na jangwani sio kariakoo, Simba ndio iko mtaa wa msimbazi kata ya Kariakoo tambua kuanzia leo Jangwani sio sehemu ya Kariakoo
 
Back
Top Bottom