confused

na mchumba ananipenda xana na anataka kunioa tatizo kiukweli haniridhish ktk mapenz cpati raha kbs kitu kinachofanya nimkumbuke mpenz wangu wa zamani kumwambia naogopa nicje kumdissappoint
Mkuu mahipsi baby pole kwa hayo yanayokukuta jaribu kuwasiliana namimi kwa njia ya email yangu hii (fewgoodman@hotmail.com) ninaweza kukusaidia na huyo akaweza kukurithisha kimapenzi.

Nimesha mpa ushauri wangu mkuu asante data
 
Last edited by a moderator:
Kwa nini umesema "i will" kwa mtu ambae unajua si chaguo lako?...na soon utasema "I do" afu uanze kumtafuta ex wako muanze kuchiti?

Kwanini inakuwa kwa mabinti wengi mtu akikwambia nataka nikuoe ni mwiko kusema hapana?

Ni desperation au?
 
Kwanini inakuwa kwa mabinti wengi mtu akikwambia nataka nikuoe ni mwiko kusema hapana?

Ni desperation au?

Lazima kukubali,wanaogopa wasipoolewa watakuwa
nyumba ndogo mkuu..Aaahhh,aaaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…