georgeallen
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 4,118
- 1,875
mbona fixed point nalo ni full mauzo???????ha haaaaaaaaaaaaa, rafiki, mengine hata ukifungua dictionary unatoka kapa. jina halivutii kabisa. kila ukichangia thread unaulizwa kwani wewe ni she?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona fixed point nalo ni full mauzo???????ha haaaaaaaaaaaaa, rafiki, mengine hata ukifungua dictionary unatoka kapa. jina halivutii kabisa. kila ukichangia thread unaulizwa kwani wewe ni she?
Mkuu mahipsi baby pole kwa hayo yanayokukuta jaribu kuwasiliana namimi kwa njia ya email yangu hii (fewgoodman@hotmail.com) ninaweza kukusaidia na huyo akaweza kukurithisha kimapenzi.na mchumba ananipenda xana na anataka kunioa tatizo kiukweli haniridhish ktk mapenz cpati raha kbs kitu kinachofanya nimkumbuke mpenz wangu wa zamani kumwambia naogopa nicje kumdissappoint
Nimesha mpa ushauri wangu mkuu asante datajinamizi gani limeingilia mapenzi ..
Kila kukicha jipya.
Sasa nakushauri mahipsi, fuatilia post za MziziMkavu
alafu nani kakwambia kwamba ukimwacha huyo ndo utampata mfikisha vilele... Afu usikute tatizo ni lako wewe.. Unakaa kama gogo kunako shughuli wategemea nn?
Kwanini inakuwa kwa mabinti wengi mtu akikwambia nataka nikuoe ni mwiko kusema hapana?
Ni desperation au?