Congo (1) vs Serengeti Boys (0): Serengeti Boys yashindwa Kufuzu Fainali za Afrika

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
25,225
Reaction score
25,488
Mechi itachezwa kuanzia saa 15:30 GMT leo 02.10.2016 kwenye uwanja wa Aliphonse Massamba Debat jijini Brazzaville, Congo.

Marefa wanatoka Burund.

----------------------------Updates---------------------------
Mitandao yote inayohusika na uonyeshaji mechi kwa kuandika LiveScore iliandika kwamba timu ya taifa ya vijana, Serengeti Boys imefuzu kucheza Kombe la Mataifa Afrika itakayofanyika nchini Madagascar, kesho.

Lakini baadaye kukawa na taarifa kwamba Serengeti Boys imeng’olewa baada ya kufungwa bao katika dakika ya 90+2.

Lakini baadaye tuliwapata viongozi wa TFF, Katibu Mkuu, MWesigwa Selestine amethibitisha Serengeti Boys imefungwa kwa bao hilo 1-0.

"Mtuwie radhi, hata sisi mwanzo tuliambiwa matokeo ni bila bila, hata mitandao yote kweli ilionyesha bilabila. Lakini mwisho tumepewa taarifa ambazo ni za uhakika kwamba tumefungwa kwa bao moja, dakika nne za nyongeza," alisema Mwesigwa.
 
Sisi mutu ya Kongo iko piga hivi mutanzania[emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji4]
 
Watiz ni waongo mtu anajifanya yupo, halafu anakimbia.
 
Kwa hiyo tumepita ? Kwa matokeo hayo si ndio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…