inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
hao watoto nao washenz tu,game ya nyumban walkua wanacheza na jukwaa,wanapoteza nafasi,magol yanarud kipuuzYani sisi sijui tunagundu gani bongo dah!....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hao watoto nao washenz tu,game ya nyumban walkua wanacheza na jukwaa,wanapoteza nafasi,magol yanarud kipuuzYani sisi sijui tunagundu gani bongo dah!....
Hao watoto tuliwaharibu sisi wenyewe,saikolojia inasema,mtu mzima na akili zako ukianza kumsifia sana mtoto kupita kiasi,anavimba kichwa na anaanza kukudharau hata wewe mwenyewe.hao watoto nao washenz tu,game ya nyumban walkua wanacheza na jukwaa,wanapoteza nafasi,magol yanarud kipuuz
ulitaka watu wasishangilie!..wale wamefundshwa kutimiza majukum yao ma ktojal kelele iwe za kuzomewa au kushangliwaHao watoto tuliwaharibu sisi wenyewe,saikolojia inasema,mtu mzima na akili zako ukianza kumsifia sana mtoto kupita kiasi,anavimba kichwa na anaanza kukudharau hata wewe mwenyewe.
nadhan cha msingi ni kutowatelekeza hao watoto ni msaada katika michezoulitaka watu wasishangilie!..wale wamefundshwa kutimiza majukum yao ma ktojal kelele iwe za kuzomewa au kushangliwa
TFF haina cha kuwafanya hao,labda wachukuliwe na vilabu na huwez kuvilazmisha vilabu viwachukuenadhan cha msingi ni kutowatelekeza hao watoto ni msaada katika michezo
hii ndo bongo hatutashangaaTFF haina cha kuwafanya hao,labda wachukuliwe na vilabu na huwez kuvilazmisha vilabu viwachukue
ndio wabongo wanavyosema, , , hawataki kukubali kirahisi ,,Hiyo ""mbinde sana "" imesaidia nini?