Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona mnatuchanganya...mara kafuzu mara kaaga[emoji15]Wamefuzu Matokeo 0-0
KaagaMbona mnatuchanganya...mara kafuzu mara kaaga[emoji15]
Amefuzu angia kwenye blog ya salehjembe uoneKaaga
Du...ng'ombe wa masikiniKaaga
safi sana vijana wa congo brazaville!MAJONZI...Serengeti Boys imetolewa, awali tulipata taarifa kwamba imefuzu na mitandao yote ya LiVE SCORE kama unavyoona ukiwemo wa Caf ilionyesha TUMEFUZU, Pia TFF walisema tumefuzu lakini mwisho tena kumekuwa na mabadiliko ya taarifa kwa Wacongo wamefunga bao katika dakika ya 90+2 katika dakika 4 za nyongeza. TUWAOMBE RADHI KWA USUMBUFU WOWOTE ULIOJITOKEZA
labda fainali ya kupiga pushup!Tunakwenda fainali kwa mara ya kwanza ...Mungu ni mwema siku zote, hongera sana team nzima na uongozi kwa ujumla