Congo (1) vs Serengeti Boys (0): Serengeti Boys yashindwa Kufuzu Fainali za Afrika

Congo (1) vs Serengeti Boys (0): Serengeti Boys yashindwa Kufuzu Fainali za Afrika

Mleta maada na wachangiaji wote hamueleweki/.
 
Akh..hili jukwaa limefanywa la kitoto kabisa uzushi ndio imekuwa dili,tunakodoa macho mpaka yanafifia kumbe,panyaroad wamelivamia,mods mpigeni warning huyu mzushi.sijui Doffa sijui loffa wa mawazo.
 
MAJONZI...Serengeti Boys imetolewa, awali tulipata taarifa kwamba imefuzu na mitandao yote ya LiVE SCORE kama unavyoona ukiwemo wa Caf ilionyesha TUMEFUZU, Pia TFF walisema tumefuzu lakini mwisho tena kumekuwa na mabadiliko ya taarifa kwa Wacongo wamefunga bao katika dakika ya 90+2 katika dakika 4 za nyongeza. TUWAOMBE RADHI KWA USUMBUFU WOWOTE ULIOJITOKEZA
safi sana vijana wa congo brazaville!
 
Tunakwenda fainali kwa mara ya kwanza ...Mungu ni mwema siku zote, hongera sana team nzima na uongozi kwa ujumla
labda fainali ya kupiga pushup!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
ndio kufungwa wamefungwa lakini kwa mbinde saaaana
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Mlikwenda Olympic mkarudi na maboksi ya Lady pepeta...
Sijui Congo mtarudi na nini?
 
WATU MWANZONI TULISHANZAA KUSHANGILIA USHINDI.....AISE HILI GINDU MBONA LIMETUGANDIA KTK TIIMU ZETU.

OVAA
 
Niliwahi mwambia rafiki yangu kwa ccm wanajitamba sana hao vijana ndio mwisho wao
 
Back
Top Bottom