Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,057
- 10,367
Mbona tumachanganyana jamani?MAJONZI...Serengeti Boys imetolewa, awali tulipata taarifa kwamba imefuzu na mitandao yote ya LiVE SCORE kama unavyoona ukiwemo wa Caf ilionyesha TUMEFUZU, Pia TFF walisema tumefuzu lakini mwisho tena kumekuwa na mabadiliko ya taarifa kwa Wacongo wamefunga bao katika dakika ya 90+2 katika dakika 4 za nyongeza. TUWAOMBE RADHI KWA USUMBUFU WOWOTE ULIOJITOKEZA