Congo (1) vs Serengeti Boys (0): Serengeti Boys yashindwa Kufuzu Fainali za Afrika

Congo (1) vs Serengeti Boys (0): Serengeti Boys yashindwa Kufuzu Fainali za Afrika

MAJONZI...Serengeti Boys imetolewa, awali tulipata taarifa kwamba imefuzu na mitandao yote ya LiVE SCORE kama unavyoona ukiwemo wa Caf ilionyesha TUMEFUZU, Pia TFF walisema tumefuzu lakini mwisho tena kumekuwa na mabadiliko ya taarifa kwa Wacongo wamefunga bao katika dakika ya 90+2 katika dakika 4 za nyongeza. TUWAOMBE RADHI KWA USUMBUFU WOWOTE ULIOJITOKEZA
Mbona tumachanganyana jamani?
 
Tz U-17 Imefanikiwa kusonga mbele kwenye mashindano ya Afrika kwa kuwalazimisha sare ya tasa na congo-brazaville.
HONGERENI VIJANA WETU.
KUMRADHI WANAJAMII FORUM KWA TAARIFA TATANISHI HII NI KUTOKANA NA ERRORS UPDATE.MASAHIHISHO YA TAARIFA.
upload_2016-10-2_21-11-32.png
 
Tatizo Nape alijiingiza kwenye haya mashindano!!Mwanzoni vijana walikuwa wanashinda kimya kimya tu.
Zilipoanza mbwembwe vijana wakaanza kucheza na jukwaa...Ndio basi tena!!Ukoo wenye gundu,leo ndoa kesho talaka
 
Hakuna timu pale...... Nilijua watawaiga kakazao tuu. Fani ya wabongo ni Majungu tuu
 
Back
Top Bottom