Congo (1) vs Serengeti Boys (0): Serengeti Boys yashindwa Kufuzu Fainali za Afrika

Tz-u17 0-Congo brazaville 0 full time.
 
Mbona sielewi, mara tumepigwa kimoja mara tumepita, kipi ni kipi??
Kama ni kweli hongera sana kwa vijana wetu na kama sio baasi tukipange zaidi ila bado vijana wanastahili pongezi.
 
Tunakwenda fainali kwa mara ya kwanza ...Mungu ni mwema siku zote, hongera sana team nzima na uongozi kwa ujumla
 
Bora hawa vijana serikali ielekeze nguvu huko labda watatuo aibu mweeh.
 
Vijana wa Tanzania Under 17 wameshindwa kufurukuta kwenye misitu ya Ikweta huko Congo baada kuchomwa na mwiba dakika ya 90. Vijana hao ambao walionekana kuleta matuamaini mapya kwa taifa ambalo halina historia katika mchezo huo wamejikuta wakiadhibiwa vibaya na wakongo.

Mashabiki wameshangilia sana hapa Congo na haikua suala geni kwao ila ni mwendelezo aidha timu ya Serengeti Boys ilikua ni kawaida yao.
 
Pongezi nyingi zaidi zimuendee Nape Moses Nnauye.
 
muuuuuuuuuuuungu wanguuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Mbona sielewi, mara tumepigwa kimoja mara tumepita, kipi ni kipi??
Kama ni kweli hongera sana kwa vijana wetu na kama sio baasi tukipange zaidi ila bado vijana wanastahili pongezi.
Ndugu tumeshinda
 
SAFI SANA SERENGETI BOYZ....

OVA
 
Pongezi kwa wachezaji pamoja na benchi la ufundi kwa kazi nzuri waliyofanya hasa team coach.
 
tumepigwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Hii thread nayo ni siasa au kapotea njia!
 
Washabiki wa simba wametutia aibu jana,leo tunafarijiwa na vijana wetu wa serengeti boyz, maisha yanaenda.
[emoji28] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…