CONGO DR haijapakana chochote na Tanzania?

CONGO DR haijapakana chochote na Tanzania?

Aman kwenu watumishi wa MUNGU

Ni swali ambalo nauliza ?

Je Tanzania hatuna mpaka na kongo hakuna mkoa ambao unapakana na Kongo?

Asante

SAYUNI BOY
Kwanza una umri gani? Na elimu yako niya kiwango gani ?,

Umeuliza swali ambalo hata darasa la pili wanafundishwa mashuleni(mipaka ya nchi)
 
Ndio Kwanza anasoma Darasa la pili na hiyo topic hawaifikia bado
 
Aman kwenu watumishi wa MUNGU

Ni swali ambalo nauliza ?

Je Tanzania hatuna mpaka na kongo hakuna mkoa ambao unapakana na Kongo?

Asante

SAYUNI BOY
Tanzania tunalinda biashara yetu kubwa na rwanda,hatko kwenye hiyo vita
 
Back
Top Bottom