Nsibhwene JF-Expert Member Joined Dec 8, 2016 Posts 293 Reaction score 217 Jun 2, 2019 #1 Nimekuwa nikisikia Kongo Dast (Lakini nadhani ni Congo Dust). Hii ni kitu gani?
Bulaya001 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2018 Posts 5,987 Reaction score 6,682 Jun 3, 2019 #2 aina mpya ya mifuko iliyoletwa na serikali[emoji854][emoji854]
FCR JF-Expert Member Joined Nov 7, 2018 Posts 213 Reaction score 177 Jun 5, 2019 #3 Hiyo nimifuko mbadala ya serikali usihangaike
Mkuu wa Kibiti JF-Expert Member Joined Sep 7, 2017 Posts 776 Reaction score 1,136 Jun 5, 2019 #4 Uzuri mifuko hiyo ukiichoka kama vibebeo na vifungashio unaila na chai kama kula chapati vile
kabiriga JF-Expert Member Joined Nov 18, 2012 Posts 1,109 Reaction score 1,171 Jun 5, 2019 #5 umesikia wapi ndugu? ni vema ukauliza huko ulikosikia watakupa majibu kuliko huku. humu mgeni wengi.
Nambarapi JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 201 Reaction score 171 Jun 5, 2019 #6 Nsibhwene said: Nimekuwa nikisikia Kongo Dast (Lakini nadhani ni Congo Dust). Hii ni kitu gani? Click to expand... Vumbi la kongo Nnimekutafsiria tuu
Nsibhwene said: Nimekuwa nikisikia Kongo Dast (Lakini nadhani ni Congo Dust). Hii ni kitu gani? Click to expand... Vumbi la kongo Nnimekutafsiria tuu
corasco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2016 Posts 3,664 Reaction score 3,389 Jun 5, 2019 #7 Ha ha ha huu uzi kiboko hizo reply
POTIZILLAH Member Joined Apr 30, 2011 Posts 87 Reaction score 158 Jun 12, 2019 #8 Jina jingine KASSONGO MPAKO
Che Machemba Member Joined May 17, 2019 Posts 12 Reaction score 5 Jun 12, 2019 #9 Bulaya001 said: aina mpya ya mifuko iliyoletwa na serikali[emoji854][emoji854] Click to expand...
Che Machemba Member Joined May 17, 2019 Posts 12 Reaction score 5 Jun 12, 2019 #10 Ni balaa za vijana mkuu,mbadala wa viagra,wanaamini ni vitu vyenye asili ya congo na blahblah nyingine
Ni balaa za vijana mkuu,mbadala wa viagra,wanaamini ni vitu vyenye asili ya congo na blahblah nyingine
A akilitimamu Member Joined Apr 14, 2019 Posts 79 Reaction score 108 Jun 14, 2019 #11 Nenda pale Kariakoo mtaa wa Kongo ulizia hilo dust. Lakini kisirisiri.
Carnivora JF-Expert Member Joined Jan 26, 2018 Posts 3,650 Reaction score 6,015 Jun 14, 2019 #12 Puturu Mundende
Ghost Republic JF-Expert Member Joined Aug 5, 2017 Posts 623 Reaction score 533 Jun 14, 2019 #13 Mifuko Mkuu