Congo: Wanadiplomasia wameondolewa Bukavu wamepekwa Rwanda. Nadhani Bukavu kutawaka moto mda siyo mrefu

Bukavu ipo karibu m'noo na Rwanda ukisogea zaid ndio unakutana na Mpaka Wa Burundi na CONGO so kwa Bukavu wapo saaiii kuelekea Rwanda,
Na ndo maana burudi kapeleka congo majeshi yake moja kwa moja anajua waasi wakisha fika bukavu bac wataungana na waaasi wa bulundi,
 
Raisi wa malawi kamwambia mkuu wa majeshi atoe vikosi vyake congo.
 
Kabla mkutano mkuu hauja kalika dar wa kujadili hali ya usalama na amani congo jumamoc,
Waasi wameteka mjimwingne mdogo wa Nyabibwe uliopo kivu kusini km 100 kufikia bukavu
 
Rasmi waasi wa23 wametangaza kuteka uwanja wa bukavu airport km25 kufika mjini bukavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…