Congrats Fally Ipupa

amatolo

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2017
Posts
690
Reaction score
712
Walah, Mondi jifunze kwa huyu jamaa, ukweli mchungu yeye ndo kakubeba huu wimbo. Toka umeanza kuimba huu ndio wimbo wa pili kuupenda, kuudawnload na kuusikiliza, wa kwanza ulikuwaga "NITAREJEA"
 

Attachments

  • Diamond Platnumz - Inama -DJMwanga.com.mp4
    17.7 MB
fally mbali na kuwa na kipaji pia anaimba mambo ya maana,ndio maana namkubali sana
mondi ni mmoja ya wanamuziki ninaowasikiliza mara moja moja akiimba nyimbo nzuri, tatizo lake kuna muda anaimba vitu vya ajabu,ajifunze kwa fally,mond anavyoimba sio level zake ,awaachie upuuzi underground,mtaniamini mkitafuta nyimbo za fally,mpaka leo sijawahi kusikia fally kaimba matusi au vitu vya ajabu ajabu visivyokuwa na maana

NB
namkubali mondi akiimba kulalamikia mapenzi,hapo ndio ukali wake upo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…