fally mbali na kuwa na kipaji pia anaimba mambo ya maana,ndio maana namkubali sana
mondi ni mmoja ya wanamuziki ninaowasikiliza mara moja moja akiimba nyimbo nzuri, tatizo lake kuna muda anaimba vitu vya ajabu,ajifunze kwa fally,mond anavyoimba sio level zake ,awaachie upuuzi underground,mtaniamini mkitafuta nyimbo za fally,mpaka leo sijawahi kusikia fally kaimba matusi au vitu vya ajabu ajabu visivyokuwa na maana
NB
namkubali mondi akiimba kulalamikia mapenzi,hapo ndio ukali wake upo,