bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,370
- 3,962
Basi nenda kachukue mkopo bank na wewe kama unaweza.unafikiri kuna masikini yeyote anaepata mkopo wa kujenga hotel toka bank?au unadhan mkopo unachukuliwa hovyohovyo tu?Huwezi kuwa Tajili kama mpaka leo bado unawaza kimaskini, wacha wahindi wachukuwe mikopo bank waendelee kukutumikisha tu ndio upeo wa ubongo wako, kutumwa na wahindi tu.