Congrats Joseph Mbilinyi (Sugu).....

Huwezi kuwa Tajili kama mpaka leo bado unawaza kimaskini, wacha wahindi wachukuwe mikopo bank waendelee kukutumikisha tu ndio upeo wa ubongo wako, kutumwa na wahindi tu.
Basi nenda kachukue mkopo bank na wewe kama unaweza.unafikiri kuna masikini yeyote anaepata mkopo wa kujenga hotel toka bank?au unadhan mkopo unachukuliwa hovyohovyo tu?
 
Huo Ndio Unaoitwa Chuki, Kwani Ktk Maelezo Yake Amesema Anajenga Kwa Mshahara Au Posho Yake!!?? Au Mkopo Wa CRDB Ni Mshahara Na Posho Ya Ubunge!! Kama Haujui Hata CHATO Kumejengwa Hotel Kitambo Tu, Au Uwaziri Wa Ujenzi Nao Kumbe Unalipa!!!?
Ukiona bank imekukopesha wewe jua kua wameona kua unauwezo wa kufilisiwa na kirudisha mkopo wao mambo yakienda mrama.
Mnafumba macho na kijifanya kua hamjui kwamba hakuna mkopo unaotoka bila security kwa bank.na angepataje hizo security kama sio ubunge wake?kakaa ng'ambo miaka mingi mbona hakukopa wala kujenga hata mgahawa??ukweli ndio huo ubunge unalipa na ubinge umempa connection ya kupata huo mkopo.
 
kuna walakini mahali.... ajira kwa vijana .. any way hongera sugu
 
Ajila ya vibaruwa ipo hapo ila je kampuni za nyumbani hakuna wakandarasi wa kufanya kazi hiyo? au Wachina bei yao iko chini sana?
hili swala linahitaji kautafiti .. labda wakandarasi wa nyumbani hawana viwango....
 
hili swala linahitaji kautafiti .. labda wakandarasi wa nyumbani hawana viwango....
You have point, hata kama wana viwango akikujengea jengo moja yeye anataka apate majengo mawili kwa pesa yako hiyohiyo, nimeona hata nyumba za mfuko fulani kandarasi wamepewa wachina kuzijenga, sijaelewa hawa wakandarasi wazawa material sijui wananunuwa dunia ipi?
 
Watanzania tuna shida sana kwenye credibility and integrity ya kazi! Sababu kubwa ni kuendekeza rushwa na kupiga panga hata pasipofaa kupiga panga!
 
Hivi Mbeya hakuna wakandarasi wa kujenga hiyo Hotel? tunategemea wabunge ndio waanze mfano wa kulinda ajila za ndani. mwenye maelezo zaidi anipatie.
Mkuuu Kwan daraja la kigambon limejengwa na watanzania au, VIP kuhusu barabara ya Mosh, arusha to namanga? Mwache Mr sugu
 
Mkuuu Kwan daraja la kigambon limejengwa na watanzania au, VIP kuhusu barabara ya Mosh, arusha to namanga? Mwache Mr sugu
Kwa taarifa yako tu Sugu ni mwanangu kitambo tangu Mbeya day, nina access ya kumuuliza hili kwa mdomo, nimeandika hapa kuleta changamoto na kuchokonowa mada tu, hotel anayojenga Sugu ni kama Motel tu na siyo miradi mikubwa kama hiyo ya daraja la kigamboni ambapo ni sahihi kutoa kandarasi nje. usiniangalie kwa woga.
 
Hapana mkuu wakandaras wa kitanzania baadhi Yao hawaaminiki kwa sbb wamezid kuchakachua . Pia weng wao hawana mitaji mikubwa .
 
Umeleta habari mbili kwa pamoja: wimbo na ujenzi, kisha ukazivurugaaa na kunichanganya wala sijaelewa kitu.
 
Hivi Mbeya hakuna wakandarasi wa kujenga hiyo Hotel? tunategemea wabunge ndio waanze mfano wa kulinda ajila za ndani. mwenye maelezo zaidi anipatie.
Hawana exposure ya kutosha, wamezaliwa Mwanjelwa, wamekulia Uyole na wanaishi Mafyati. unategemea atakujengea hotel gani ya kuvutia. Hapo kinachotafutwa ni quality, ambacho ni kitu muhimu sna kwenye biashara including hiyo ya Hotel.
 
Huo Ndio Unaoitwa Chuki, Kwani Ktk Maelezo Yake Amesema Anajenga Kwa Mshahara Au Posho Yake!!?? Au Mkopo Wa CRDB Ni Mshahara Na Posho Ya Ubunge!! Kama Haujui Hata CHATO Kumejengwa Hotel Kitambo Tu, Au Uwaziri Wa Ujenzi Nao Kumbe Unalipa!!!?
Weye chuki inatoka wapi?
Wazir wa ujenzi wakati huo hakutangaza vita kama huyo sugu.
Alivyo jisifu kwenye mitandao.
Sasa weye ndio mwenye chuki Na Ngosha.
 
I don't get your point here....kwani sugu hatakiwi kukopa?

kwani halipwi mshahara kwa kazi yake ya Ubunge?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…