Congrats to Diamond and Lady Jaydee for making Tanzanians proud

Bwana Heaven On Desert umeeleweka,ingawa yawezekana wachache wakawa hawajaelewa.
Tatizo ninaloona pengine kuna watu wachache ambao wanakuwa ni wapinzani wa Diamond,wanakuwa wanajaribu kumkatisha tamaa.
Ila katika maisha ni lazima kutambua kuwa ili uwe shujaa lazima upitie vikwazo.
Hongera kwa Diamond kwa kupata tuzo.
Na pia kuchaguliwa kuwania tuzo za BET za marekani. Ingawa hakushinda lakini ni hatua kubwa aliyopiga.
Kuna wasanii maarufu wenye mafanikio marekani na kwingineko ambao hawajawahi pata tuzo za BET lakini heshima waliyonayo ni kubwa.
 
Bado swala la uandishi hutaki kulifanyia kazi!

Naendelea kukumbusha uandishi wako si mzuri !
 
Nimetazama TV1 habari, tuzo ya "colabo" imeenda kwa Mafikizolo ft Uhuru ~ Khona! itakuwa walikosea eeeeehhhh????
 
duuh! Muwe munaweka na link ili usionekane kituko, nijiavyo mimi ndomo kashnda tuzo moja hyo ya pili labda umempa wewe... Best male in east africa.
 
Hivi hiyo ya pili mbona mnaing'ang'ania sana
Moja inamtosha natushampa pongezi

Hakikisha unawaambia hao afrimma warekebishe kabla kesho haijafika maana hali ya hewa mshaichafua sana H.O.D
 
Hizo tuzo nadhani hazina tofauti na zile za shigongo au Le Mutuz,basi Domo ndo kapata pa kusemea,jide kazipata bila promo na mpaka sasa kapiga kimyaaaa
 
ameahid kulekebisha,kwa ufupi diamond anarudi na tuzo mbili mkononi.
lakin nitumie nafas hii kuweka sawa kuwa,diamond kwa sasa,wasanii wakubwa wa nje wengi ndiyo wanoomba collabo yeye,sitosema mengi ila kwa uchache tu nimfano wa
mafikizolo waliomwomba diamond nakumlipia na nauri ili abaki south ili tu collabo ikamilike,piakuna iyanya ailiomba colabo (siyo bumbum) but haiyjatoka bado,kuna waghana,kuna mwanadada waje wa nigeria,hilo liliandikwa sana tu kwa wanokumbuka,all in all time wil tell,kazi zitajieleza zikitoka.Ahsanteni


Rafiki ulikuwa fastaaaaaaa .....
 
Hongera sana Diamond ki ukweli Unajituma na Mafanikio unayaona ...:dance:.Ongeza Juhudi na Ubunifu Mafanikio zaidi utayaona achana na Kelele za Wabongo kutwa kukatishana Tamaa na Kuogopeshana ndivyo Tulivyo Mwaya .......yetu tunayafyata ya wenzetu ahaaaa kutwa kuyafyatua ! Tunakuwa Ma Chief Judge ! By the way Ahsante kwa Kitorondo imekuwa ni ngoma yangu ya kufanyia Mazoezi ......
 
Team Diamond forever...

Aloibiwa ajitokeze arudishiweeee!

Nani kanunaaaaaaa?

Basi ni mwendo wa viparaaaaaaa!
 
Kanya kiroba cha malawi,baki na ngololo huku Diamond anakugededea dada zako na maa zako wadogo
 
Kanya kiroba cha malawi,baki na ngololo huku Diamond anakugededea dada zako na maa zako wadogo

Kumbe ndo kinachowauma? Kwani anawabaka? si wanampa wenyewe....

Team diamond...
 
kama hujaelewa unamatatizo ya akili tatizo wivu unakutesa

Ivi mimi na wewe nani mwenye matatizo ya akili?fuatilia comments za wengi humu ndani wameipokeaje post yake?kweli kuna typing error lakini mbona yake imezidi?
Niwe na wivu huyo diamond ni mke mwenzangu tunagombea nae mume?
 
Winners is finally here. And cut! Ohh, it’s not a movie, it’s finally a wrap on the 2014 African Music Magazine Music Awards held last night at the Eisemann Center in Texas.The African Music magazine Awards is the only music awards show organised in the Diaspora that caters to all musical genres including but not limited to: Afrobeats, Assiko, Bongo, Decale, Funana, Genge, Highlife, Hiplife, Kwaito, Lingala and Soukous.
The hosts of the show Basketmouth and Juliet Ibrahim did dazzle the audience. Basketmouth would crack a joke each time, and Juliet just brightened the whole place with her beauty
The show was a spectacular event with performances from Africa’s finest artistes like Stanley Enow, Togah Howard, Iyanya, Davido, and several others.
Neither Sarkodie or Shatta Wale from Ghana and other competitors could win the best male artiste in the West Africa Category, as the 2014 BET African Act Award winner snatched the glory from them by taking that award in his category and also winning the overall artiste of the year. Efya also lost to Tiwa Savage for best female artiste in west africa. Shatta Wale and Samini did not also win their category for Best Dancehall artiste as Timaya from Nigeria took that from them
Ghana couldn’t win the major awards but Dj Black won Best Dj from Africa, Sarkodie wins Best Rap Artiste and Fuse ODG wins Best male Artiste in the Diaspora.
The rest of the 2014 Afrimma Winners are below.
Best DJ Africa 2014- Dj Black (Ghana)
Best African DJ USA 2014 – Dj Josh (Kenya)
Best Video of the Year 2014- Flavour (Nigeria)
Best Male East Africa 2014- Diamond (Tanzania)
Best Male West Africa 2014- Davido (Nigeria)
Best Female East Africa 2014- Lady Jaydee (Tanzania)
Best Female West Africa 2014 – Tiwa Savage (Nigeria)
Best Male Central Africa 2014 – Fally Pupa (Congo)
Best Female Central Africa 2014- Gasha ( Cameroon)
Best Male Southern Africa 2014- Khuli Chana (South Africa)
Best African Group 2014- P-square (Nigeria)
Best Male Diaspora 2014- Fuse ODG (Ghana)
Best Female Diaspora 2014- Les Nubians (Cameroon)
Best Female Southern Africa 2014- Zahara (South Africa)
Best Dancehall Artist 2014 – Timaya (Nigeria)
Best Dance in a Video 2014- Iyanya (Lekwa Ukwu) (Nigeria)
Best Gospel Artiste 2014- Bahati (Kenya)
Best Traditional Artist 2014- Flavour (Nigeria)
Best Newcomer 2014- Stanley Enow (Cameroon)
Best Video Director 2014- Ogopa Dj’s (Kenya)
Music Producer of the year 2014- Dj Oskido (South Africa)
Best Dance Group 2014- Imagineto (Nigeria)
Best Rap Act 2014- Sarkodie (Ghana)
Best Collaboration 2014- Mafikizolo ft Uhuru (Khona) (South Africa)
Song of the Year 2014- Kcee (Nigeria)
Artist of the Year 2014- Davido (Nigeria)
Leadership in Music Award 2014- 2face Idibia
Legendary Award 2014- Yvonne Chaka Chaka
Transformational Leadership Award 2014- Chief Dr. Godswill Akpabio
 

hivi ndivyo unavyopaswa kuwasilisha mada sio mambo ya hetaz sijui nini hayo waachie mashabiki wewe fanya kazi yako, ukifata hao unaowaita hetaz ingawa mumi siamini kuwa ni hetaz bali wewe ndo uliwafikisha huko, angalia hao hetaz ndo walimliza wema na mama wema, diamond yuko simple sana nimeona interview yake eatv jamaa ni mnyenyekevu sana jitahidi uwe kama bosi wako,
 
samahani nahitaji kujua anaconda aliudhuria au kama kawa alikuwa hajui tuzo zinafanyika lini?
 

hongera sana diamond platnumz na lady j dee,mmedhihirisha uwezo wenu,keep it up.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…