Naombeni aliyeelewa huyu afisa habari wa ndomo kaandika nini anieleweshe please!!!
kama hujaelewa unamatatizo ya akili tatizo wivu unakutesa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naombeni aliyeelewa huyu afisa habari wa ndomo kaandika nini anieleweshe please!!!
Naombeni aliyeelewa huyu afisa habari wa ndomo kaandika nini anieleweshe please!!!
Kanya kiroba cha malawi,baki na ngololo huku Diamond anakugededea dada zako na maa zako wadogo
kama hujaelewa unamatatizo ya akili tatizo wivu unakutesa
Habari zenu ndugu ,wakubwa na wadogo
nataka niweke sawa kuhusu utata uliozuka kuwa diamond kashindatuzo ngapi,
kwenye AFRIMMA,ameshindatuzo mbili,mwanamziki bora east afrika na number 1 rmx ikishindacollabo bora ya Africa
category iliyokuwa na ugumu kidogo kulingana na aliokuwa akishindanishwa na-
2face ft Tpain- Rainbow ( Nigeria/ United
States)
Mafikizolo ft Uhuru-- Khona ( South Africa)
Dr Sid ft Don Jazzy /Phyno/Wizkid- Surulere
remix(Nigeria)
Amani ft Radio and Weasel Kiboko
Changu (Kenya/Uganda)
Jmartins ft DJ Arafat--- Touching body
( Nigeria/ Ivory Coast)
R2bees and Wizkid- Slow down ( Ghana/
Nigeria)
..kilichotokea ni makosa ya uandishikwenye website ya afrimma ambako ndiyo watu wamecopy ..
but wameahid kulekebisha,kwa ufupi diamond anarudi na tuzo mbili mkononi.
lakin nitumie nafas hii kuweka sawa kuwa,diamond kwa sasa,wasanii wakubwa wa nje wengi ndiyo wanoomba collabo yeye,sitosema mengi ila kwa uchache tu nimfano wa
mafikizolo waliomwomba diamond nakumlipia na nauri ili abaki south ili tu collabo ikamilike,piakuna iyanya ailiomba colabo (siyo bumbum) but haiyjatoka bado,kuna waghana,kuna mwanadada waje wa nigeria,hilo liliandikwa sana tu kwa wanokumbuka,all in all time wil tell,kazi zitajieleza zikitoka.Ahsanteni
ni kitu cha kujivunia kama
both best female and best male artist east africa wametoka nchi
mmoja(tanzania). Hii ina maana we run ea kwenye sector ya music.this is
what should be discussed, as tuwasaidiaje wasaani wetu wazidi kung'ara
na kuanza kuvuka mipaka ya africa masharaki ili na ss siku moja besf
artist atoke kwetu, soka tumeshindwa, movies ndio kabisa jamani hii
tumejaliwa, lets stop hating na kuwapa courage wasanii wetu.