Congrats to Diamond and Lady Jaydee for making Tanzanians proud

Niliona kwenye Mtandao wa Millard Ayo nikajua hamtaji Jide.
 
Mbona sioni Diamond tuzo mbili???? kuna nyuzi zinasema Dangote amekula tuzo 2
 
Hizo tuzo nadhani hazina tofauti na zile za shigongo au Le Mutuz,basi Domo ndo kapata pa kusemea,jide kazipata bila promo na mpaka sasa kapiga kimyaaaa

Kweli hapa inatuonyesha kuwa Diamond aidha kuna watu wanampa mapromo au yy misifa mingi mbona jide kimya au hajutegemea kama atashinda hizo ni sawa na tuzo za shigongo au kwakuwa zimefanyika Marekani mimi ningefurahi sana kama angeshinda Bet au Mtv ingekuwa powa apunguze sifa msanii wetu kama anaweza anaweza tu mbona ana wasi wasi Ay mbona alichukua ya Chanel O na ilikuwa powa tu au anataka washabiki wake tuamini kuwa yy ni mzee wa kucopy
 

Ha ha ha ha mkuu uandishi wako sio mchezo. Rudi hata MEMKWA kidogo itasaidia!!


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Yani Kwa kupanga maisha ya wenzetu hatujambo, Eti mbona Jide yupo kimya ahhh jibu ni rahisi tu mbona!
 

Ameparua kinoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…