Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usigome bana Chrispo I still keeping my promise... kwa hiyo nisimcopy Kaizer?
habari bestlady/matron
umeamka au unalala??
samahani kama nitakukwaza lakini sijaelewa
Hatimaye umefufuka kama ulivyosema?deh deh deh makamanda naona mnaongoza jahazi!
deh deh deh anakosesha usingizi bana, samtaim natamani nimrejeshe alikotoka heheehehhehehe!
naona UMEIBUKA
vipi mtoto anaendeleaje?
hehehe!
naona UMEIBUKA
vipi mtoto anaendeleaje?
Where we live and love. Where we will die for.zat is wea wii livu
Hatimaye umefufuka kama ulivyosema?
Dah! Wivu mpaka makaburini? Mi nikifa mnizike na valuu yangu mtakayonikuta nayo.wazembe wamenitumia PM za kufariki bana! waswahili bana, hata nikifa nimesema HARISI MTU ,nazikwa na kila kilicho cha kwangu
Hahahaha!WHERE WE DARE.....
HEHEHEHEHEHE!where we dare to practise our customs and tradtitions OPENLY
Ni huyu Shishi amegoma kutumia kondom sasa amefanikiwa kupata matunda ya mgomo wake.Hapa napo kuna nini?
ha ha ha hommie si mbali sana pale pale pa siku zote nilikua na......Ni huyu Shishi amegoma kutumia kondom sasa amefanikiwa kupata matunda ya mgomo wake.
Kajifungua salama ndo tunampa hongera zake.
Homeboi umetokea gesti gani na haka kamvua?
WHERE WE DARE.....
HEHEHEHEHEHE!where we dare to practise our customs and tradtitions OPENLY