sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Kama una wazo la biashara na unahitaji pesa (mtaji), andika kwenye sehemu ya comment kwa ufupi na kwa namna ya kuvutia!
Kama una pesa (mtaji) lakini huna wazo (idea), tafadhali tuma ujumbe (PM) wa moja kwa moja kwa mtu ambaye wazo lake linakuvutia.
Leo tushirikishane mawazo ambayo yanahitaji kati ya Million 1 hadi Million 10 tu.
Usiogope kuandika wazo lako ukihisi litaibiwa hizo ni hadithi za kufikirika, Idea zipo nyingi na wewe si wa kwanza kuwa na idea hiyo!😊😊 Idea unailinda kwa kuitekeleza.
Kwa wale wanaotafuta mawazo au watu wa kushirikiana nao, chukueni kalamu zenu na jiandaeni kwa mazungumzo!
Tafadhali ikibidi weka namba yako ya simu au email kwenye wazo lako!
Tujiandae na mwaka 2025.
All the best!