Connection ya Biashara ya Mazao

Connection ya Biashara ya Mazao

MISULI

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
7,843
Reaction score
5,476
Habari wakuu,Niko mkoani Mbeya,naomba kwa yeyote mwenye connection ya biashara za mazao.Nina mtaji kiasi 2.5M.Niko tayari kushirikiana pia katika kufanya hiyo biashara.
 
Habari wakuu,Niko mkoani Mbeya,naomba kwa yeyote mwenye connection ya biashara za mazao.Nina mtaji kiasi 2.5M.Niko tayari kushirikiana pia katika kufanya hiyo biashara.
Huko si ndipo kuna mchele maarufu wa Kyela, au ni soko unatafuta?
 
Back
Top Bottom