Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko si ndipo kuna mchele maarufu wa Kyela, au ni soko unatafuta?Habari wakuu,Niko mkoani Mbeya,naomba kwa yeyote mwenye connection ya biashara za mazao.Nina mtaji kiasi 2.5M.Niko tayari kushirikiana pia katika kufanya hiyo biashara.