Connection ya Maduka (Wholeselers) /Viwanda vinavyouza Dawa za Binadamu kwa bei nafuu zaidi

Connection ya Maduka (Wholeselers) /Viwanda vinavyouza Dawa za Binadamu kwa bei nafuu zaidi

Mtoa uzi ameomba kutajiwa maduka au viwanda lakini naona anapewa namba za simu,rai yangu kwa mleta uzi asisahau ule msemo unaosema kila palipo na changamoto kuna fursa.
 
Kuna jamaa wanaitwa MD pharmacy,wapo dar(sijui mtaa gani),nilishawahi kuwatumia mara moja,niliona bei zao ni chini kulinganisha na kwengine nilikoulizia.
 
Back
Top Bottom