0626097783Habari wajumbe.
Naomba Connections za Maduka au Viwanda tunapoweza kupata Dawa za binadamu wa bei nafuu zaidi.
Unataka dawa za kuuza duka la dawa la rejareja au unataka kununua na wewe ufanye wholesale?Habari wajumbe.
Naomba Connections za Maduka au Viwanda tunapoweza kupata Dawa za binadamu wa bei nafuu zaidi.
Ongezea na Rhode na bariki.Heko, Core, na Salama ndo bei chee kwa Tz