Hapa kwenye picha kuna waya ambao una terminal nyekundu na nyeupe unatoka kwenye subwoofer na kuingia kwenye TV waya huo kama. unavyouona upande wa pili una interface ya kuingia kwenye TV lakini connection hii haifanyi kazi.
Lengo langu ni sauti kutoka kwenye TV isikike kwenye subwoofer.Subwoofer ina option 3 Aux,Bluetooth na FM.Bila.shaka hii connection inahitaji mode ya Aux.
Tatizo linaweza kuwa nini wataalamu?
View attachment 1933322
Huu waya wenye termina nyekundu na nyeupei,upande wa pili waya huu una pini kama unavyouona ambayo inaingia kwenye poti fulani ya TV ambayo inaonekana kwenye picha hii chini
View attachment 1933325
CHIEF MKWAWA sema neno na tatizo hili litakwisha