Connection ya Ufugaji Isimani, Iringa

Connection ya Ufugaji Isimani, Iringa

Mshimba1971

Member
Joined
Dec 13, 2021
Posts
75
Reaction score
67
Wadau salama?

Naitaji mtu mwenye makazi au connection na Isimani, Iringa. Nataka kuhamia huko kwa shughuli za ufugaji na kilimo, naomba ni DM.

Ahsante.
 
Lukuvi aje atupe ABCD za Ismani.
 
Karibu ulime ALIZETI ufuge mifugo Kama kuku, Bata na nguruwe. Mifugo Kama ng'ombe, kondoo na mbuzi ufugaji wake una changamoto sababu ya ukame wa muda mrefu katika mwaka.
 
Karibu ulime ALIZETI ufuge mifugo Kama kuku, Bata na nguruwe. Mifugo Kama ng'ombe, kondoo na mbuzi ufugaji wake una changamoto sababu ya ukame wa muda mrefu katika mwaka.
Nashukuru mkuu kwa mawazo hayo, naweza pat anamb ayako unipa details zaidi mkuu?
 
Back
Top Bottom