Connection za walevi

Connection za walevi

Wafia dini Mara nyingi ndo wanatupa connection hasa Hawa walokole wanaojificha kwenye kivuli cha dini
Kuna rafk yng alikuwa mlevi lakin alivyo okoka tu connection zote za madili, hela, marafik zikapotea[emoji848][emoji848][emoji848] sasa iv ni kama amevurugwa na maisha.
 
tunakutana tunapozitafuta na tunakutana kwenye kutumia ndo connection zinzazliwa
 
Back
Top Bottom