Conor McGregor avunjika mguu kwenye pambano muda huu

Mguu umevunjika vibaya, itakuwa alikosea step akiwa anamuendea mpinzani, ila kwa ulaya, sitashangaa kumuona tena ulingoni after six months.
 
Mguu umevunjika vibaya, itakuwa alikosea step akiwa anamuendea mpinzani, ila kwa ulaya, sitashangaa kumuona tena ulingoni after six months.
Yes, atarudi soon
 
bongo ukivunjika hivyo wanaomba usaini tuu WAUKATE
 
wahuni wana bet tu ila shughuli yake wana ipata washiriki wa mchezo
 
Pole yake sana...

Kwa ubishi wa binadamu wa siku hizi watakuja kusema hiyo ni photoshop...
 
Nimependa Tu Dogo alivyochapwa na Hata Kama asingevunjika Mguu still angekula kichapo Kutoka kwa Dustin P ambae Ndio Namba 1 kwa ubora Wa Ufc kwa Sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…