Conor McGregor avunjika mguu kwenye pambano muda huu

Conor McGregor avunjika mguu kwenye pambano muda huu

screpa

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
10,857
Reaction score
15,866
Conor McGregor amepoteza pambano lake la marudiano na Dustin Porier (by doctor stoppage) baada ya kuvunjika mguu mwishoni mwa Round ya kwanza
Screenshot_20210711-073647_1625978231396.jpg
 
Mguu umevunjika vibaya, itakuwa alikosea step akiwa anamuendea mpinzani, ila kwa ulaya, sitashangaa kumuona tena ulingoni after six months.
 
bongo ukivunjika hivyo wanaomba usaini tuu WAUKATE
 
wahuni wana bet tu ila shughuli yake wana ipata washiriki wa mchezo
Screenshot_20210711-102852_Instagram.jpg
 
Pole yake sana...

Kwa ubishi wa binadamu wa siku hizi watakuja kusema hiyo ni photoshop...
 
Nimependa Tu Dogo alivyochapwa na Hata Kama asingevunjika Mguu still angekula kichapo Kutoka kwa Dustin P ambae Ndio Namba 1 kwa ubora Wa Ufc kwa Sasa
 
Back
Top Bottom