Chizi Maarifa JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 10,931 Reaction score 24,816 Jan 24, 2021 #21 screpa said: Uaga kuna ugomvi wa kupangwa, ila hawa jamaa ni kweli hawaivi hadi leo hii, Khabib anamchukia sana Conor kwakuwa alifikia hatua ya kukashifu dini yake. Click to expand... Zote ni mbwembwe kujenga umaarufu kwa pambano.
screpa said: Uaga kuna ugomvi wa kupangwa, ila hawa jamaa ni kweli hawaivi hadi leo hii, Khabib anamchukia sana Conor kwakuwa alifikia hatua ya kukashifu dini yake. Click to expand... Zote ni mbwembwe kujenga umaarufu kwa pambano.
Hoshea JF-Expert Member Joined Jan 24, 2012 Posts 5,420 Reaction score 3,772 Jan 24, 2021 #22 screpa said: Sijashangaa kupigwa ila nimeshangaa kupigwa kirahisi hivyo Click to expand... Yale mateke kwenye calf si mchezo, akammalizia na makonde left right, Connor akalala
screpa said: Sijashangaa kupigwa ila nimeshangaa kupigwa kirahisi hivyo Click to expand... Yale mateke kwenye calf si mchezo, akammalizia na makonde left right, Connor akalala
screpa JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 10,857 Reaction score 15,866 Jan 24, 2021 Thread starter #23 Chizi Maarifa said: Zote ni mbwembwe kujenga umaarufu kwa pambano. Click to expand... Ayabwana[emoji119]
Chizi Maarifa said: Zote ni mbwembwe kujenga umaarufu kwa pambano. Click to expand... Ayabwana[emoji119]