Conor McGregor kuzichapa na Dustin Poirier usiku wa leo

Conor McGregor kuzichapa na Dustin Poirier usiku wa leo

Uaga kuna ugomvi wa kupangwa, ila hawa jamaa ni kweli hawaivi hadi leo hii, Khabib anamchukia sana Conor kwakuwa alifikia hatua ya kukashifu dini yake.
Zote ni mbwembwe kujenga umaarufu kwa pambano.
 
Your time is up Conor!!
255672141723_status_49164585506e45c2a9937124ffeca12f.jpg
 
Back
Top Bottom