Nalisubil kwa hamu kuu ila kwangu mm Conor Mc Gregor anamchakaza cowboy ila ingenoga angeludiana na khabib yule mwamba Ana roho mbaya kama Rambo vile [emoji109]
๐๐๐ile mashine ni moto wa ges nasubil day watakapo rematch Conor atajutaConor hamuezi Khabib mkuu.
Nalisubil kwa hamu kuu ila kwangu mm Conor Mc Gregor anamchakaza cowboy ila ingenoga angeludiana na khabib yule mwamba Ana roho mbaya kama Rambo vile [emoji109]
Khabib alishamuambia Conor akitaka rematch inabidi awapige watu kadhaa ndo ataamini kwamba anastahili tena title shot, maana panbano la kwanza was embarrassment[emoji23][emoji23][emoji23]ile mashine ni moto wa ges nasubil day watakapo rematch Conor atajuta
[emoji23][emoji23][emoji23]ile mashine ni moto wa ges nasubil day watakapo rematch Conor atajuta
๐๐๐kanavyotembea na ile mikwala ya maana kujimwambafai kama RANGO ๐๐Kananifirahishaga mwendo wake haka kajomba
Conor toka adundwe na Khabib kawa wa kawaida, siku ile alipigwa kipigo cha mbwa koko, Cowboy anashinda hili pambano japo Conor ana fans base kubwa
Nataman siku moja kuona wakali hawa
Khabib vs Tony Farguson
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu ngoja tuendelee kusubil ili pambano Sema saiz nao UFC wanaweka mapambano ya madogo sana sijui Korean zombie sijui kina nan nan mpak mood inaisha but STILL MMA/UFC ni hatare nakumbuka Ronda rousey alivyo chakaaga ndani ya sekunde Kazaa damu uso wote ila kaenda WWE kawa mbabe ๐๐๐Conor toka adundwe na Khabib kawa wa kawaida, siku ile alipigwa kipigo cha mbwa koko, Cowboy anashinda hili pambano japo Conor ana fans base kubwa
Nataman siku moja kuona wakali hawa
Khabib vs Tony Farguson
Sent using Jamii Forums mobile app
Khabib janja janja yule, ile style yake ya kukamata miguu Tony naye yupo fit chini ndio maana anaogopaNasikia Khabib anachomoa, hataki kupigina na Tony, maana naye kwenye ground yuko vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu ngoja tuendelee kusubil ili pambano Sema saiz nao UFC wanaweka mapambano ya madogo sana sijui Korean zombie sijui kina nan nan mpak mood inaisha but STILL MMA/UFC ni hatare nakumbuka Ronda rousey alivyo chakaaga ndani ya sekunde Kazaa damu uso wote ila kaenda WWE kawa mbabe [emoji16][emoji16][emoji16]
Khabib janja janja yule, ile style yake ya kukamata miguu Tony naye yupo fit chini ndio maana anaogopa
Hawakosi sababu kama Joshua Vs Wilder
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile style ya Khabib kila mtu haipendi ila Tony naye anaifaham vyema kuicheza ila hapendagi kuindekeza kama afanyavyo Khabib, yeye Tony anakupasua uso kwa ngumi tuYes, style ya Khabib siipendi sema ndo hivyo inampatia ushindi. Ni ngumu sana kumzuia asikudondoshe chini
Sent using Jamii Forums mobile app