screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,857
- 15,866
Irishman Conor McGregory anatarajiwa kupanda Octagon kupigana na Mmarekani Donald Cerrone 'Cowboy' mnamo jumapili alfajiri kwa masaa ya EA. Ni pambano linalokuja baada ya Conor kukaa nje ya ulingo kwa zaidi ya mwaka mmoja baada ya kupokea kichapo kikali kutoka kwa Mrusi Khabib Nurmagomedov , pambano hilo la PPV linatarajiwa kuvuta hisia za mashabiki wengi wa MMA kwakuwa linashirikisha two big names (legends).
Tupeane updates hapa....
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupeane updates hapa....
Sent using Jamii Forums mobile app